lakini mkuu hujasema kama macho yako ni mekundu,umeeleza tu mazingira unayofanyia kazi,hata hivyo macho yaweza kuwa mekundu kutokana na ugonjwa haya ukitibu ugonjwa husika macho yatakuwa meupe.Mengine mtu alizaliwa macho yake mekundu hii siyo rahisi kuibadili nijuavyo mimi. Wengine kutokana na kazi mfano kule kijijini kwetu wamama wanapikia mavi ya ngombe yaliyokauka,kuni, macho yaweza kuwa mekundu hapo ndo akina bibi wanakuwa kitoweo cha panga.
Macho mengine yanaweza kuwa mekundu kutokana na allergy ya kitu fulani au kuwa pia exposed kwanye mazingira fulani,cha muhimu hapa ni kuepuka mazingira yanayo kusababishia hali hiyo,ndiyo kuna dawa za allergy lakini kuepuka ndo suluhisho la kudumu.