BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,767
- 23,198
hii ya ukweeeee
You must be kiddin me..what an excuse..siku hizi hatuna aibu, maana wanaume wanatudanganya sana, tunaangaliana usoni kusoma lugha ya mwili, tunaongea straight ili tujue msimamo tupo wapi tustarehe au ndoa.
Hata tukiwa na wenzetu tunayaongelea waziwazi kufundishana au jokes
wanaume mkitusikia lazima aibu iwapatw nyie loh.... Sie macho makavuuuuu
ila serious utandawazi umechangia sana. Watu wapo huru na wawazi sasa aibu za nini? Mapenzi, sex huongelewa kwa uwazi na kuonekan kitu cha kawaida si cha kuonea haya. Hata majumbani mzazi(wa siku hizi) huongea wazi na watoto wao, kazi ambayo ilikuwa inafanywa na mashangazi....
Mpolee
Ungeambiwa ujipime wewe ungejiweka kwenye kundi gani?
nishawahi rusha sred hapa kua me wako threatened na ke anaejtambua! Haya maelezo ya Mwana kjj ni udhibtsho tosha.
Umeanza na "watu walikuwa na...staha, heshima..." halafu ghafla ikageuka kuwa "hivyo...dada zetu...wasingeweza kuyazungumza...."watu walikuwa wanazungumza mambo ya mapenzi kwa staha, heshima, na kujali nani anasikiliza. HIvyo, kuna mambo ambayo dada zetu hasa wasingeweza kuyazungumza mchana
Kujitambua ni kukosa kuona haya?
kujtegemea. Kudemand unachotaka na kuhakksha wakpata kwa namna yyte ile. Kutoegemea wala kujali vidume vinataka nn. Kua mbinafs kuwazd hayo ni machache. Wanatudharau sana hawa. kumuangalia mtu bila shobo za kijnga nayo nikujiamn. Vip ww unaoana kujtambua kukoje?
asiyekuwa na staha wanaume wengi huamua kuyeya kimya kimya
Cku hizi mambo yamebadilika sn,hata zile aibu za kutafuna kucha wakati wa kutongozwa hakuna tena,cku hizi kuna wenye ujacri wa kumtokea mwanaume!mie nafikiri hata malezi hasa ya huku mjin yamechangia sn,ila kale kaibu ka kike ni muhimu kuwa maintained!cku moja kwenye daladala mdada alipokea cm anaongea na buzi lake nilitaman kujificha bila haya anamsifia jamaa kwa gemu aliyompa mpaka na maumbile ya jamaa haki ya nani watu walibaki kuguna na kutizamana tu!
Mie bado najifunza Mpoleee, lakini naamini unaweza kujitambua na ukaendelea kuwa modest, respectful na bashful vile vile.
Naamini kujitambua hakumfanyi mtu kukosa haya wala heshima. Kuondoka kwenye utegemezi hakutaki lazima mwanamke awe completely kama mwanamme pia.

kwan kua m/ke au m/me ni kupi?
Mie bado najifunza Mpoleee, lakini naamini unaweza kujitambua na ukaendelea kuwa modest, respectful na bashful vile vile.
Naamini kujitambua hakumfanyi mtu kukosa haya wala heshima. Kuondoka kwenye utegemezi hakutaki lazima mwanamke awe completely kama mwanamme pia.
teh teh teh!Msichana na vijiaibu ni kama jino na ufizi !. Msichana mijicho mikavu hapendezi
Mfano unamtongoza kisha anakutolea mimacho mithili ya mtu anaeingiza vocha, inabore !