Nafanya kitu ambacho ni appropriate kwa muda huo ..
iwe mavazi, maongezi, etc.. as long i'm happy ..
Mi sipendi mwanamke mwenye aibu, nampenda mwanamke mwenye haya... Kuna tofauti kubwa sana kati ya kuona aibu na kuona haya.....
Umenielewa? Kama hujanielewa nitafute PM ukiwa without.
ODM? mmmhhh simwamini hata chembe,labda Babu DC.usimtume Rejao bwana
ujue huyo ni small hausi yangu
mtume babu DC au ODM
kama unapenda aibu ya kuuma kucha
naanza kuuma za miguu
ODM? mmmhhh simwamini hata chembe,labda Babu DC.
Unatakiwa kuwa na aibu ngapi??
Ayaaaaaaa! Unaharibu bashaija!:juggle:ODM? mmmhhh simwamini hata chembe,labda Babu DC.
Sio mtu ndio kwanza mmekutana eti unamuuliza ana shilingi ngapi :shock:
100 ili zitoshe.
Ayaaaaaaa! Unaharibu bashaija!:juggle:
La kizushi.......hivi hata humu kwenye net (mfano hapa JF) unaweza kujua wadada wenye 'aibu'? I mean kupitia namna wanavyoandika?
Sana tu... Mfano wa haraka haraka.... King'asti, Kongosho na Mwali.La kizushi.......hivi hata humu kwenye net (mfano hapa JF) unaweza kujua wadada wenye 'aibu'? I mean kupitia namna wanavyoandika?
Dah....sio 'reverse' hizi kweli!Sana tu... Mfano wa haraka haraka.... King'asti, Kongosho na Mwali.
Aibu ya Kongosho ndio balaa zaidi.....:A S-coffee: Ushaona mtu anauonea aibu mswaki?
Dah....sio 'reverse' hizi kweli!
mie hata sijui!Unapenda rivesi???
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:
Hehehehe...... hiyo yaitwa staki nataka...... yaani kakitu kanataka lakini macho yanaona soo.... sababu ya wivu tu... eti kakitu katafaidi lolNina aibu sana, hebu nicheki hapo navyomwekea pozi baba naniliyu
View attachment 46893
Aisee angalia utaihamishia hii sredi jukwaa la Maria Roza ujue....Unapenda rivesi???
:A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed: