nimesema hivyo kutokana na misemo ya kiswahili kwamba uzaliwacho nacho umeumbwa nacho, na uumbaji ni kazi ya mungu. kwa kifupi hapa nkuelezea kuhusu makengeza (macho kumchuzi).
makengeza au heterotropia kwa kawaida yanatokana na ukosefu wa uratibu kati ya misuli ya macho (extraocular), ambayo kwa kawaidahutakiwa ifanye kazi kwa pamoja nakuongoza macho kuweza kuwa na mwelekeo wa aina moja.
Makengeza yanaweza kuwa ama ugonjwa wa ubongo katika kuratibu macho au misuli husika kuwa imekakamaa.Makengeza yawezakuwa ya kuzaliwa nayo au kuyapata ukubwani.
Matatizo ya makengeza hulekebishwa kiuigumu sana kwaushrikiano na wataalamu wa macho ( orthoptists na ophthalmologists).
kuana aina mbalimbali za makengeza.
1.Makengezayatokanayo na kupooza kwa neva III na IV (oculomotor na trochlear nerves)ambazo mtu huzaliwa nazo
2.kopooza kwa neva ya Sita (abducent) na kusababisha kupooza kwa misuri ya nje yamacho (extraocular mascles) na hivyo huitwa ophthalmoplegia.
3. Makengeza pia huweza sababishwa na kitu iitwayo Kearns-Sayre syndrome, lakinihii hutokea baada ya miaaka 18-20. Ni matatizo ya neva za misuri ya nje yamacho.
Aina nyingine ya makengeza ni ya macho yote kuaangalia ndani au kuangalia pandetofauti (Convergent kuambatana / mchanganyiko kuambatana Esotropia
Exotropia).
Kunasababu au aina nyingi za makengeza mfano ,heterotropia microtropia,heterophoria esophoria,exophoria, duane syndrom, wima strabismus ypertropia andhypotropia nk.)
Dalilizake ni kwamba mtu hawezi ngalia kitu kwa macho yote, yaani tashwira ya kituhuweza wakti mwingine pelekwa tofauti, na kumfanya mtu kuona vitu viwiliviwili, au anpobalee huwa anaonekana kama ana mcho yaibu,
Ukiwamdogo unaweza fanyiwa upasuaji, lakini mara nyingi kuwafunza watu hao kutazamakitu kimoja kwa makini ili kuyapatia macho mazoezi au kupewa miwani.