Macho Man mwanamieleka kafa

Macho Man mwanamieleka kafa

amekufa tangu mwisho wa dunia, 21st May.
 
amekufa tangu mwisho wa dunia, 21st May.

Jamani hebu tuache utani, huyo bwana alikuwa na mashabiki wengi sana. Juma lililopita tu, J1 wamemrusha hewani akifunga ndoa na Elizabeth ambaye walitengana muda mrefu na wakaungana kiajabu sana kwa sababu Elizabeth aliinuka kutoka walikokaa watazamaji akapanda ulingoni na kumbeba juu juu mwanamke mmoja aliyepanda awali pale ulingoni akamtwqnga Machoman aliyekuwa anapambana na mwanaume mwingine. Elizabeth naye kwa hasira alimwininua na kumtuilia nje ya ulingo yule mwanamama aliyebaki kuugulia sakafuni. Baadaye wakaonyesha sasa sherehe kamili ya harusi pale jukwaani.

Kwa hiyo mtu huyu nataka kusema anayo historia makini sana, mwenye picha karibu tafadhali aturushie. Ni sawa na kilipotokea kifo cha Umaga, wngi walighuzunika ingawa mwishoni mwa enzi zake naye alianza kuharibikiwa kwa kucheza rafu sana kumbe ndio hivyo tena, mweee!
 
Back
Top Bottom