Macho ya mtoto kutoa matongotongo tangu anazaliwa

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wakuu,

Mtoto wa kiume ana miezii miwili sasa macho yake yanatoa matongo tongo, tumeenda hospital wakatupa dawa tumemtia lakini wapii still hadi sasa hili tatzo limekua sugu.

Masada wenu wakuu.
 
Mkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi

Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka
Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts

Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii
 
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom