TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Aug 1, 2023 #1 Habari wakuu, Mtoto wa kiume ana miezii miwili sasa macho yake yanatoa matongo tongo, tumeenda hospital wakatupa dawa tumemtia lakini wapii still hadi sasa hili tatzo limekua sugu. Masada wenu wakuu.
Habari wakuu, Mtoto wa kiume ana miezii miwili sasa macho yake yanatoa matongo tongo, tumeenda hospital wakatupa dawa tumemtia lakini wapii still hadi sasa hili tatzo limekua sugu. Masada wenu wakuu.
Black Sniper JF-Expert Member Joined Dec 10, 2013 Posts 32,406 Reaction score 55,148 Aug 1, 2023 #2 Mkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii
Mkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii
TEAM 666 JF-Expert Member Joined Dec 7, 2017 Posts 4,399 Reaction score 8,594 Aug 1, 2023 Thread starter #3 Black Sniper said: Mkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii Click to expand... Sawa mkuu
Black Sniper said: Mkuu sio tatizo kubwa sana kwa upande wa watoto wachanga hii inasababishwa na uzibe wa mirija ya machozi Ila kuna wengine huwa inachukua mpaka miezi 6 kufumuka Kama lugha gongana nisamehe inaitwa blocked tear ducts Huenda inaweza kuwa sababu zingine ila mimi naijua hii Click to expand... Sawa mkuu