Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka..Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
Hebu nione.Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka..
nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
It is immposible, for a security purposes..Hebu nione.
Piga picha
Vipi mkuu dada yako kashaolewa?Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka..
nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo.
Kabisa mkuu na mimi nasubiri hapa nipate jibu[emoji23][emoji23][emoji23] kama atakuwa bado mkuu usifanye ajizi.
This one thorSio tu wazungu peke yao ndio wanayo, la.
Najivunia kuwa mtu mweusi.
Asante Mungu kwa kuniumba mwafrika.
View attachment 834191
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Castr unaniachaga hoi sanaKwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit?