Macho ya paka

Afu muhu hayupo uyo mungu yupi adiyeonekana mnaabudu kitu kisicho na uwepo??
 
Kwamba natakiwa kuamini na picha za kuedit?
Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
 
Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka..

nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
 
Binafsi yangu mimi na dada yangu tuna macho ya paka..

nilivyoona uzi nimekimbilia, nilijua kuna elimu ya ziada
Hongereni mkuu. Hizo genes ni nadra sana ktk jamii. Kati ya watu 50,000 mtu mmoja ndio anaweza kuwa na macho hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…