Macho ya paka

ata dem wang anayo kama ayo usiku sihangaiki kumtafuta.[emoji41] nasubiri kupata nae toto la taifa..
 
mi napenda macho meusi/brown ya waafrika. huwa yanang'aa sana. Ya blue au kijano hayako poa kabis
 
Mungu awalinde na rangi ya Uafrica wao...
Tabu wakidada wanaojichubua na kutaka wawe wazungu..
 
kuna baadhi ya picha naona kama unadhalilisha.
all in all its photoshop
 
Mkuu, ina maana ktk maisha yako hujawahi hata kukutana mtaani na na mweusi mwenye macho hayo!?
Mimi Binafsi juzi ndiyo nimekutana na binti mmoja mzuri sana mwenye macho ya Paka.
Kabla yake sikuwahi kuona mwafrika menye macho ya paka.
 
Sijawahi na nimeishi kwa zaidi ya nusu karne.
Mkuu mimi nimemuona juzi, binti mzuri sana ana macho ya paka.
Kabla yake sijawahi kuona mwafrika mwenye macho ya paka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…