Macho yana shida gani

Macho yana shida gani

DissDotCom

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2014
Posts
395
Reaction score
268
Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
 
usitumie huvyi vifaa gizani unaharibu macho. . . kama unatumia mda mrefu ni bora uwashe taa.
 
Back
Top Bottom