DissDotCom JF-Expert Member Joined Mar 31, 2014 Posts 395 Reaction score 268 May 30, 2015 #1 Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
Habari wakuu nimekua na tatizo la kutoka machozi mara nyingi ninapotumia kifaa kama simu au computer gizani nikiacha tu ndo napata tatizo hilo ila nikisema niendelee tatizo la kutoa machoz linakata
ISLETS JF-Expert Member Joined Dec 29, 2012 Posts 8,120 Reaction score 5,352 May 31, 2015 #2 usitumie huvyi vifaa gizani unaharibu macho. . . kama unatumia mda mrefu ni bora uwashe taa.