Vumbi la congo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 666
- 981
Wakuu nasumbuliwa na macho..hasa jicho moja la upande wa kushoto..yan likianza kuwasha linawasha kweli kweli..najitahid kujizuia kulifikicha ila nashindwa matokeo yake nayafikicha mpaka nahisi yanaweka vidonda..je tatizo hili nalitatuaje iwe kwa dawa za hospital au hata za kiasili maana hali hii inanikosesha raha
Nenda hospitaliWakuu nami ninatatizo la macho kuwasha na kuwa kama yanataka kutoa machozi na muda mwingine kupelekea kichwa kuuma
Naombeni msaada wenu wa mawazo NA ushauri
Sent using Jamii Forums mobile app