Duuuh, pole sana mkuuMi nlienda kufanya kazi mkoani mbeya ndani ndani basi watu wakawa wanadhani mi muhamiaji haramu hasa msomali
Stigma kwa chotara wa kishirazi? Zenji wanabagua dini, wanabaguana unguja na pemba, wanabagua wabara, siasa za ubaguzi.Kule Zanzibar kuna stigma mbaya sana
umenikumbusha some body Kaburu mwenye kampuni ya utalii aliyekuwa anaongea mbele ya Lugola juzi Ar.machotara wa bongo siku hizi wamepauka,hawana lolote
Umefeli mzee babaMimi ni chotara wa kichaga na kisukuma
Umefafanua vizuri sana... big up sis.MACHOTARA wengi huwa wanakuwa unstable!
NAFKR inaongozwa na roho ya kukataliwa na toka tumboni!
THINGS LIKE
nimebeba mimba ya black!
nimebeba mimba ya mzungu!
akizaliwa jamiii zote mbili ni kama hazimkubali kama mmoja wao!
matokeo yake anajikuta kwa baba hayupo kwa mama hayupo!
akikua anaonekana wa kishua hata kama sio!
au wa hali ya chini hata kama sio!
inategemea anaonekana zaidi wa rangi gani na yuko eneo lipi tofauti na rangi yake!
akianza mahusiano atatizamwa kama mtu flan wa tofauti!as kuna mtu atamchukulia vile asivyo tu kwa ajili ya ngozi yake!
NAO WANAKUWA WANAJUA!
UKIMX VYOTE HIVYO!
wengi tu wanajikuta hawako serious na mahusiano!
akioa kuacha sio issue, mostly wanajikuta hata hawakukuta wazazi wao wote wawili wakiwa pamoja mpk ukubwani!
Hahahaha,Kwahio Malcom Lumumba unatumia hio avatar kutung'ong'a wenye rangi ya kiwi?
Hii ni nadharia tu..na stigma inazidishwa na hii nadharia ya kusema kuwa chotara mtu lazima awe double agent. Na hii inatengenezwa makusudi ili ku discourage interracial marriage.Machotara hawaaminiki kabisa mana ndio Double agents wa Intelligence community nyingi Huwa na maisha magumu tu kama watakuwa ndani ya Mifumo ya serikali
Bless thou heartHii ni nadharia tu..na stigma inazidishwa na hii nadharia ya kusema kuwa chotara mtu lazima awe double agent. Na hii inatengenezwa makusudi ili ku discourage interracial marriage.
Pamoja Sana mkuu.Bless thou heart