mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,525
- 1,171
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.

Unashindwa na nauli tukuchangie au vipi?Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.
Asalam Alaykum Waungwana, Naombeni mnisaidie mawazo yenu ili niweze kumrudisha mke wangu aliyeondoka nyumbani yapata mwezi sasa. Tumejaliwa watoto wa wili na ndoa yetu ina miaka 6 sasa. Tulikorofishana nyumbani akaondoka. Mke alikuwa mama wa nyumbani hivo sina hata house girl. Kupika sijui so nawalisha hoteli na junk food wakati wote. Kuwatayarisha waende shule asubui naona kazi nadhani na leo hawatoenda shule. Nahangaika bila mama yao na nimeshajaribu kumfuata kuongea naye imeshindikana. Ramadhani ndo imeshafika hivyo sijui nitafturu wapi. Nimemkumbuka sanaaaaaaa Mke wangu.
umesema sana mkuu, so anamtaka house girl wake arudi.Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .
mh, mbona unaonekana ni mbinafsi sana wewe, kwa sababu unaweka interests zako mbele tu mbona huongelei kuhusu furaha ya mkeo utairudishaje?....umesema hata housegirl huna sasa ina maana angekuwepo basi usingekuwa na shida tena na mkeo, mara ramadhani inakuja utafuturu wapi, oh, watoto hawaendi shule, nk...kaka jiangalie muenendo wako na ujiulize kwa nini mkeo ameondoka isijekuwa ni wewe mwenyewe ndiye uliyesababisha akaondoka...huo ugomvi wenu sisi hatuujui wala hatuna haja ya kuujua, muhimu ni ukae chini jifikirie na ujiangalie umekosea wapi kisha fuata moyo wako....
nikweli kabisa jamaa ana ubinafsi sana..nakuunga mkono mkuu! ajiangalie na kuchunguza nafsi yake kwanza...
Hacha mfumo dume wewe, mkeo kakimbizwa na kazi pia, sitoshangaa wewe kuficha kwamba ulimpiga!
Umelelewa vibaya ata kupika ugali ujui!
mi ndio amenichosha hapo. kazi mwanzo mwisho. mke anakumbukwa kwenye shida tu.
Bora umemsome...nakupa like 101!!, yaani watu wengine unashindwa hata kuwashangaa!
umemshtukia eh!! mama mwenyewe alishtukia kua anafanyishwa uhouse girl na kaondoka na watoto kamuachia
mi ndo mana sitakagi waume wavivu hata kuchemsha chai huwez!:eek2:
Nimechekaje? I have observed the same. Yaani to him, wife = chores. Ndo maana alikimbia. I guess u were treating her really bad. Ungekua na housegirl hata usingemkumbuka!
umesema sana mkuu, so anamtaka house girl wake arudi.
Mh!Umetaja kazi tu hapo,inaonekana unamtazama mkeo kama mashine ya kukufanyia kazi na sio mke,ndo maana unamkumbuka kwaajili ya kazi na sio mapenzi na upendo.Hata kwenye kufunga umemkumb kwenye kukupikia futari. . . .
ungefunguka kidogo ili tujue kwa nn aliondoka ili 2pate pa kuanzia
Tutakusaidiaje na wakati hujatuambia ugomvi wenu ulisababishwa na nini?? By the way alikua mkeo au housegirl??wanaume kama wewe ni mzigo for sure!