tito majala
Member
- Sep 4, 2011
- 25
- 3
kuna rafiki yangu ni vvu+ anaitaji mchumba yupo dar nimwajiri mchumba awe na shughuli yoyote awe na watoto wasizidi 3 au asiwe na mtoto ni sawa umri miaka 30 mpaka 45 tafadhari pm upewe namba yake ya simu kwa alie na nia kipaumbele anaeishi dar