Machungu ya Trump kukata msaada yamefika hadi nyumbani kwa Wamarekani!

Machungu ya Trump kukata msaada yamefika hadi nyumbani kwa Wamarekani!

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
48,475
Reaction score
70,102
Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na wanajeshi veterans.

Inasemwa amri ya Trump kuzuia misaada imeleta mkanganyiko ndani ya Marekani kwa sababu haijawa wazi misaada ipi mahususi inatakiwa kusitishwa hali iliyopelekea hadi misaada ya matibabu, vyakula vya shule kwa wanafunzi masikini na misaada kwa veterans wasiojiweza kusitishwa.

Screenshot_20250129-004901_X.jpg

Screenshot_20250129-001539_X.jpg
 
Machungu wanopitia wafadhiliwa wa USAID

Ila hawa watu kukuunganisha kwenye mishe zao ni ngumu sanaa wanataka wale peke yao
 
Attachments

  • VID-20250128-WA0023.mp4
    512.2 KB
Fanyeni kazi na muondoe hizi serikali feki za kifisadi kwani wao Marekani nani anawasaidia.

It's the end of the honeymoon and now every country will have to stand on its own feet. There is no more free lunches.
 
Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na wanajeshi veterans.

Inasemwa amri ya Trump kuzuia misaada imeleta mkanganyiko ndani ya Marekani kwa sababu haijawa wazi misaada ipi mahususi inatakiwa kusitishwa hali iliyopelekea hadi misaada ya matibabu, vyakula vya shule kwa wanafunzi masikini na misaada kwa veterans wasiojiweza kusitishwa.

View attachment 3217315

View attachment 3217316
Trump ndo raisi sahihi kuimalizia usa .. mpaka watakapojua kuwa wamezama kwenye tope watakuwa wamechelewa sana
 
Majimbo ya warepublicans ndiyo yanaongoza kwa umasikini na kuishi kutegemea serikali. Watakaoathirika zaidi ni wapiga kura wake mwenyewe.
 
Mzee Trump abarikiwe sana kwani kitendo chake hiki ni zawadi ya akili aliyoitoa bure kwa wanufaika.Hii itawafanya waathirika wajitambue na haraka kuchukua hatua japo neno Marekani litapoteza ushawishi duniani.Naifananisha na mlishi wa familia kufariki ghafla au mwajiriwa kupoteza kazi ghafla kuna madhila yatajitokeza na atakayeyamudu atakuwa kazaliwa katika ulimwengu mpya kiakili.
 
Back
Top Bottom