Huko Marekani nako raia wategemezi wa msaada na viongozi wao Democrats wanapiga ukunga msaada wa serikali kuu ya Marekani kusitishwa. Waliothirika ni pamoja na sekta ya afya, shule za umma na wanajeshi veterans.
Inasemwa amri ya Trump kuzuia misaada imeleta mkanganyiko ndani ya Marekani kwa sababu haijawa wazi misaada ipi mahususi inatakiwa kusitishwa hali iliyopelekea hadi misaada ya matibabu, vyakula vya shule kwa wanafunzi masikini na misaada kwa veterans wasiojiweza kusitishwa.
View attachment 3217315
View attachment 3217316