machungu

afrodenzi

Platinum Member
Joined
Nov 1, 2010
Posts
18,150
Reaction score
9,255
Ndungu, jamaa
marafiki na wapendwa
wote wa jamii forum

Daaahh
wiki ya machungu
wiki hii nimeshuudia poster
Nyingi za wana jamvi wakielezea
kwa undani nini kilicho wasibu utotoni
mpaka ukubwani.

poleni sana
kwa yote yaliyo wasibu back then
Kwa kweli JF ni NYUMBA YA AMANI
Nimeona ni jinsi gani tunavyopeana moyo
Na kufarijiana. .ni kweli mara nyingi hatupatani
Hapa na pale lakini ni vizuri kuona jinsi tunavyopeana
moyo kwenye matatizo..

Anyway
mimi nawaombea baraka zote
za Mwenyeenzi Mungu wote waliokubwa
na matatizo mbalimbali na Nguvu kwa wanaopitia
matatizo hayo sasa. . Hongera sana kwa wote walio
Simama imara mpaka kufukia hatua mliofikia sasa na
ninauhakika Mungu kawaandalia mema zaidi tunakoelekea..

What doesn't kill you,make you stronger
Nawatakia weekend njema and most important
maisha bora yenye baraka na amani tele
AMEN..
 
Dah hiyo title imenishitua kweli nikasema na leo tena siku yangu inakuwa mbaya??

Asante kwa kutupa moyo Mungu akubariki sana mpendwa.

Weekend njema na wewe!!
 
Dah hiyo title imenishitua kweli nikasema na leo tena siku yangu inakuwa mbaya??

Asante kwa kutupa moyo Mungu akubariki sana mpendwa.

Weekend njema na wewe!!

Hahahahahahahah lol
sis umenichekesha..
Nway I hope siku yako inaenda
vizuri..
na huna machungu
 
Asante afrodenzi
ubarikiwe sana

Weekend njema nawe pia :busu
 
tunashukuru na uwe na moyo huu wa kuona mzigo wa watu wengine,
 
Tunashukuru sana, nawe pia uwe na wikend njema!
 
Amen Afro, ingawa mi yangu yalikua ya ukubwani kidogo ila yalishaisha ubarikiwe mpendwa
 
Amen Afro, ingawa mi yangu yalikua ya ukubwani kidogo ila yalishaisha ubarikiwe mpendwa

Pole sana mpendwa
my dear naamini every thing happen
for a reason..
girl
sounds like your very strong person
keep it up..
 
Yap will be waiting my dear!!
Tumalize si unajua muda tena unakwenda

Ni kweli sis
yaani muda haina break
kabisa..
Haya ntajitaidi kesho tu funge
Kitabu....
tumalize na machungu yote..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…