Mack D yuko wapi?

Werrason

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
12,325
Reaction score
38,203
Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo.

Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami"

Yuko wapi siku hizi?

Anapiga ishu gani?
Muziki ameacha???
 
Leo nimeukumbuka wimbo wa ''jumba bovu''" nimemkumbuka mchizi wa Dar Skendo.

Kuna nyimbo zake kali zilizobamba kama "Baisho" akiwashirikisha unique sisters na wimbo "njoo cheza nami"

Yuko wapi siku hizi?

Anapiga ishu gani?
Muziki ameacha???

Anafanya kazi ya Clearing & forward so kama una gari au makontena nipm nikuunganishe nae.. Mtu safi sana Dizzo
 
Mmh simwombei mabaya ila nadhani rehabu inamuhusu! Hebu muulize kalapina
Nilimuonaga mitaa ya Ulongoni.ana kampuni ya kuclear mahari bandarini.jamaa ana roho ya kipekee.niliomba lift,alinipita na gari nikiwa na mimba ya miez saba kisha mbele kidogo akasimama akanipa lifti.kipindi hiko ni kama miaka minne iliopita. Sitamsahau yule jamaa.sijui yuko wapi sasa
 
Safi sana, Ahsante kwa kushea ushuhuda.
 
Kajitahidi kujichunga kumbe anajielewa mshkaji! Alivyokuwaga na appearence ya ganja nilidhan angeweza kutumbukia huko kirahisi! Big up kwake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…