Macro economics and Day Trading: Currency Trading short thread

Macro economics and Day Trading: Currency Trading short thread

Sieger

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2022
Posts
3,180
Reaction score
7,521
Siku ya Leo, kuna taarifa njema zilitoka kwenye economic data ya China , ikiwemo Gross Domestic product na pia Industrial Productions.

Baada ya news hizo kutoka usiku ambapo watu wa East Africa wamelala, hii ilimaanisha ya kuwa Yuan ilipata strength dhidi ya Euro, ambayo sarafu yake inatokana na nchi ambazo zinamtegemea China kuimport bidhaa zao. Maana yake ni kwamba hapa pairs za EUR ikiwemo EURUSD ilikuwa ni sell. Pia hata Japanese Yen theoretically ilimaanisha kwa siku hii ya Leo, haiwezi pambana na Yuan, hivyo JPY pairs kama USDJPY tulikuwa tunatazamia buy.

So kupitia news, unaweza jua direction ya soko, then unatumia technical analysis kuangalia soko unaingia wapi. USDJPY hatimaye alitembea pips 100 Leo, na EURUSD imeshuka kipindi cha London session.
 
Back
Top Bottom