Macron akutana na Kansela Scholz jijini Humburg

Macron akutana na Kansela Scholz jijini Humburg

SNAP J

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2013
Posts
7,106
Reaction score
8,043
Mukhtasari wa kauli ya Kansela wa Ujerumani Scholz na Raisi wa Ufaransa Macron katika Franco-German meeting jijini Humburg

#Ujerumani na Ufaransa inakemea vikali mashabulizi ya kigaidi ya Hamas dhidi ya Israel.

#Ujerumani na Ufaransa wataendelea kuisadia Ukraine dhidi ya uvamizi wa Urusi.

#Mataifa ya Ulaya inatakiwa kuachana na urasimu uliokidhiri.

#Kushirikiana kwa kuimarisha ulinzi katika mipaka ili kukabiliana na tatizo la uhamiaji haramu.

#Umoja wa Ulaya kushirikana zaidi katika maswala mazima ya sera za kibiashara, uzalishaji, teknolojia- kama vile akili bandia(AI) na kadhalika.

#Kushikirikana katika maswala ya Elimu na Tamaduni.

Chanzo: DW
 
[emoji298]Viongozi hao katika mkutano huo wa siku mbili jijini Humburg walipoulizwa na waandishi wa habari nini kauli yao kuhusu tuhuma za Irani kuisadia Hamas walikuwa makini sana kuepuka swali hilo la mtego kwa tutolijibu moja kwa moja.
 
Hii dunia ina mambo mengi sana. Mtu anakabiliwa na balaa la kunguni kwake hapo hapo anaongelea kupambana na maadui wakubwa.
Kule A.magharibi Nako hatakiwi.
20230329_210442.jpg
 
Back
Top Bottom