Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Umetumwa na nan??
Mh tumpe muda atoe official sas tuone
Lipia tangazo macvoice usichukulie poa
Una roho ngumu
Huo wimbo wa nenda hata Mimi mwenyewe nimeukubali.Macvoice huyu dogo ni talent sana anajua kuandika mashahiri vizuri, Melody ndo hatari kabisa
Huyu dogo na EP yake ya My Voice itafanya vizuri Rayvanny kajitoa sana kumtoa kijana yaani unaona dhamira ya kweli ya kumsign Msanii
Sio unamsign msanii then unamuacha hewani
Tumpe dogo support anajua sana then ana nidhamu sio kama ibra hata uwezo wa kumiliki baiskel hana ila kutwa kutafuta kik
[emoji625]MACVOICE EP yake ya VOICE ni ya Moto sana
Nenda [emoji91]
Huo wimbo wa nenda hata Mimi mwenyewe nimeukubali.
Dogo anajua sanaMacvoice huyu dogo ni talent sana anajua kuandika mashahiri vizuri, Melody ndo hatari kabisa
Huyu dogo na EP yake ya My Voice itafanya vizuri Rayvanny kajitoa sana kumtoa kijana yaani unaona dhamira ya kweli ya kumsign Msanii
Sio unamsign msanii then unamuacha hewani
Tumpe dogo support anajua sana then ana nidhamu sio kama ibra hata uwezo wa kumiliki baiskel hana ila kutwa kutafuta kik
[emoji625]MACVOICE EP yake ya VOICE ni ya Moto sana
Nenda [emoji91]
Siri ya mwezi, siri ya nyota siri ya angani...siri ya njozi, usingizi siri ya kitandani...ila siri ya penzi siri ya moyo siri ya nani? Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani...!!πππ©π©π₯π₯π₯πΆπ΅π΅πΌLipia tangazo macvoice usichukulie poa
Nenda, Tamu na Bora peke yangu....
...Nyimbo nzuri sana.
Siri ya mwezi, siri ya nyota siri ya angani...siri ya njozi, usingizi siri ya kitandani...ila siri ya penzi siri ya moyo siri ya nani? Siri ya chozi ni maumivu ndani kwa ndani...!![emoji20][emoji20][emoji30][emoji30][emoji91][emoji91][emoji91][emoji445][emoji444][emoji444][emoji443]
Ibra kaingiaje hapo