Alikuja bongo kujitafuta kwa njia za panya. Mwanzoni mwa career yake wengi tulikua tunajua ni mbongo mwenzetu, hata yeye mwenyewe alijiweka kibongo bongo ili asishtukiwe na kurudishwa kwao na kalandinga. Baada ya kujipata ndio akaweka wazi kwamba yeye ni mgandaNimejua juzi kuwa Mad Ice ni mganda sio mbongo