Mad Ice kufungua studio ya kurekodi muziki Uganda.

Mad Ice kufungua studio ya kurekodi muziki Uganda.

Kibunango

Platinum Member
Joined
Aug 29, 2006
Posts
8,468
Reaction score
2,349
madice.jpg
Mad Ice mwanamuziki maarufu toka Tanzania mwishoni mwa wiki hii anategemea kuondoka Finland na familia yake na kwenda kufungua studio kubwa ya kisasa ya muziki jijini Kampala, Uganda.

Akiwa Mwanza Tanzania katika miaka ya mwanzoni ya 2000 Mad Ice alitamba kwa wimbo wake wa Babygal.. kabla ya kuhamia DSM na mwishoe kuweka maskani ya kudumu nchini Finland.

[media]http://www.youtube.com/watch?v=qGSLOEv-pDY[/media]
 
Last edited:
Back
Top Bottom