Mad tune: Enjoy wimbo mpya wa Christian Bella

Ni hatari huyu jamaa hiyo melody ndio usiseme...huyo Kaligraph jones amemaliza kabisa,,,
Hakika Christian Bella ni mwalimu wa melody..... wimbo mkali sana
Bila kusahau hanscana hii ndio kwangu video bora kabisa kutoka kwake.....
 
100% huu wimbo umetulia hauna makelele yaani clasic.
Good music
 
Huyu jamaa melody zake akizeeka tutakua tunamsikiliza Papa Wemba in another era.......
jamaa ni kisima cha melody hii ni hit song hakika............
 
Kama huu sio wimbo bora in 2017 I don't know what is. Huu wimbo umekamilika from melody, harmony, video, rap ya Khaligraph. Huu ni wimbo bora kabisa
 
sijui kwanini!
Yaani kwa mara ya kwanza sijapenda wimbo huu wa christian bella!
Anyway ngoja niendelee kuenjoy ngoma zake za zamani [HASHTAG]#ukowapi[/HASHTAG]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…