Yeah as long as revolution per minute au rpm isiwe zaidi ya 2000By the way, Toyota harrier hybrid ukiendesha chini ya 60km/h haili mafuta ni Mwendo wa kutumia umeme tu
Sijawahi kutumia Noah, lakini kwa ukubwa wake wa engine ( hauzidi 2000cc), kwa wastani fuel consumption yake haiwezi kuwa chini ya 12km/L!kama noah 1 lts inatumika kwa km ngap?
Sijawahi kutumia Noah, lakini kwa ukubwa wake wa engine ( hauzidi 2000cc), kwa wastani fuel consumption yake haiwezi kuwa chini ya 12km/L!
Wenye uzoefu wa Noah watuambie!
Toa data kwa wastani inatumia KM ngapi kwa Litre moja ya mafuta?!Noah inakula bhna engine yake ya 3s kavu ni hatar. Mimi nilishawahi kuwa nayo ulaji si haba
Thank you so much mussadigital for sharing your valued experience!![emoji106] [emoji106]Engine ya 3.0L 1Mz VVTI utumiaji wa mafuta inategemea mazingira ya barabara ,uzito wa mzigo au abiria na namna ya uendeshaji .kwa hapa Dar si rahisi kuzidi speed 80 .unacheza na rpm isiyozidi 2000 yaani speed ya 60-80 mafuta inatumia 8-9Km/1L safarini ni 10-13Km/1L
Sijawahi kutumia Noah, lakini kwa ukubwa wake wa engine ( hauzidi 2000cc), kwa wastani fuel consumption yake haiwezi kuwa chini ya 12km/L!
Wenye uzoefu wa Noah watuambie!
Chukua hybrid ya 3.3L speed chini ya 80 mafuta inakula mpaka km 28 kwa Lita moja naongea kwa experience ya hii gari kwani nishaitumia mwaka mmoja ila ikianza kusumbua epuka Na mafundi wa mtaani kwani injini yake ina umeme mwingi sana, full tank unafika Bukoba bila shida.
Kama service inafanyika vzr haina tatizo ila ikianza kusumbua ni shida,mafundi sio kama hawapo ila wapo Na inahitaji diagnosis hata kama tatizo ni Dogo sana sababu mfumo wake wa umeme unategemeanaMkuu Hybrid sawa lakini labda kwa wenzetu walio endelea, ukileta hapa ikikorofisha nani anaweza kui-service especially kwenye mechcon ya traction motors!!
Si afadhali kununua ya umeme kabisa aina ya Tesla Model X kutoka kampuni ya Elon Musk? - UTANI.
Okay, ni option nzuri ila inahitaji uwe na "msuli" wenye afya!Chukua hybrid ya 3.3L speed chini ya 80 mafuta inakula mpaka km 28 kwa Lita moja naongea kwa experience ya hii gari kwani nishaitumia mwaka mmoja ila ikianza kusumbua epuka Na mafundi wa mtaani kwani injini yake ina umeme mwingi sana, full tank unafika Bukoba bila shida.
Wadau kastarlet 1lita kilometa ngap?
Starlet inatumia lita moja kilomita 18 kwenye highway lakini gari hii ina Horse power ndogo sana (75Hp).200km