MADA: Fahamu kuhusu matumizi au ulaji wa mafuta kwenye gari aina ya Toyota harrier 3.0L (2990CC)

Yako juu...engine size kubwa kwa petrol...3
 
Ushauri wako mzuri,

Ila harrier sio kama rav4, kumbuka kwamba rav4 ndio the strongest.

Inapasua especially kwenye rough roads na bado inakua imara vile vile.

Harrier ni gari nzuri sana pia, lakini ni more luxury, haihitaji mikiki-mikiki ya muda mreefu kwenye rough roads. Yenyewe utaipenda zaidi kwenye lami.
 
Mie nimetembelea rough roads na kwny lami na kote naona iko stable na comfortable
 
Wakuu nashukuru kwa ushauri wenu!

Nilinunua gari hiyo harrier 3.0 na ninaenjoy mpaka sasa mwezi wa sita tangu nianze kuitumia. Napiga safari ndefu bila wasi wasi wowote na consumption yake si mbaya sana, 9.5km/L mpaka 11km/L. I am comfortable with it, yeyote mwenye ndoto ya kumiliki harrier wala asiogope comment za watu mara jini sijui a monster on using fuel! We cheki mfuko wako tu ili maisha yasonge.

Watu ambao huwa wana negative comments katika maisha mara nyingi ni wale wasio na uzoefu wowote na kitu wanacho comment (just imagine kuna mtu alisema inatumia hadi 5km/L, asa sijui imekuwa scania ya kubeba vifusi?).

They comment based on hear says! Ukitaka majibu sahihi ulizia watu wenye uzoefu na hicho kitu!
 
Mwenyekiti ufahamu kuhusu hizi harrier new model za mwaka 205-208 je zote Hybrid au vvti?
Au zinatofautiana?
 
Mwenyekiti ufahamu kuhusu hizi harrier new model za mwaka 205-208 je zote Hybrid au vvti?
Au zinatofautiana?
Watakuja mkuu, mie yangu ni first generation, 6 cylinder na ni vvti!
Lakini pia soma Uzi huu kuanzia mwanzo kuna watu waliziongelea vizuri hizi.
 
Bukyanagandi,
Hofu yako haiko technical. Bali ni imani zaid. Magar aina ya noah ni mengi sana. Obvious lazima ajal ziwe nying zenye kuhusisha noah. Pia carrying capacity yake ni kunbwa so in case of accident lazima madhara yawe makubwa.

Pia kuNa noah ambazo body yake iko poa sana zile town ace. Lakini hizi za kisasa yan hazieleweki bati si bati chuma si chuma fiber si fiber. Yani likibinuka tuuu, uyafikir ulikua kweny Toyo
 
hatari sana
 
Ni gari zuri sana, lina mwendo, Very stable, wastani wa matumizi ni kati ya km 8 hadi 9 kwenye maeneo korofi lakini njia kuu za lami ni km10

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngoja nifanye mpango wa machine yenye cc 6200 v8
 
That's good.
Umeitumia kwa muda gani? Na ni muendaji wa njia hizo wa mara kwa mara??
Achana kabisa na vi RAV 4 mara Kill time mara Rav 4 Massawe MAGARI7 injini za RAV zimeachwa mbali na Harrier pia suspension haina tofauti na Harrier kwenye mashimo na mawe.

ndio maana bei zina tofauti hata km ni za miaka ya nyuma zunguka huko kwenye www.zoomtanzania.com utazikuta za 5milioni lkn sio Harrier.

labda kwa toleo jipya la sasa hivi la RAV 4 wametuletea Vanguard ndio nitanyoosha mikono kuwa Harrier ni cha mtoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…