MADA: Fahamu zaidi kuhusu mbinu za kilimo cha tikitimaji, faida na changamoto zake

Kwa heka mbili iweka mtaji wa sh ngapi na faida ilikuwaje?
 
Ndugu zangu poleni majukumu naomba kwa wale mnaolima matikiti mnisaidie mawazo kuna hii hali ya kukauka kwa majani imejitokesa shambani kwangu

Unatumia kilimo cha aina gani? Umwagiliaji au inategemea mvua?
 
Nalima kilimo cha umwagiliaji

Maana nikiangalia shina unakuta lina malando km matatu alafu moja linaonesha kukauka na mawili yanaendelea kuishi bila shida
Maji unayotumia kumwagilia ni ya chumvi?
I see some sort of osmosis.
 
Maji unayotumia kumwagilia ni ya chumvi?
I see some sort of osmosis.
Namwagilia maji ya mto yanayotiririka hila hali ya uku ninakolima maji ya visima huwa yana chumvi

Ok sasa nitumie nn ili nizibit hilo tatizo lisiendelee
 
Namwagilia maji ya mto yanayotiririka hila hali ya uku ninakolima maji ya visima huwa yana chumvi

Ok sasa nitumie nn ili nizibit hilo tatizo lisiendelee
Ninachojua Mimi; Maji ya kumwagilia yakiwa na chumvi nyingi (hypertonic solution), husababisha Maji yaliyopo katika seli za mimea kutoka (kuvuja) nje ya mmea na kusababisha mmea kuanza kunyauka.

Note:
A hypertonic solution is a particular type of solution that has a greater concentration of solutes on the outside of a cell when compared with the inside of a cell.
 
Kumbuka maji ninayomwagilia ni ya mto yanayotiririka niya mvua

Ok naweza jutibu hiyo hali kwa kufanya kitu gani...?
 
Nimepiga dawa ya ukungu Leo Asubuhi kwenye miche ya tikiti maji nilikua naomba kufahamishwa kama naweza kumwagilia maji jion ya Leo msaada wenu please
Hushauriwi kufanya hivyo. Ikiwa tu unamwagalia kwandoo au kwa mpira, Ila kama unatumia drip unamwagalia tu bila shida
 
Nimepiga dawa ya ukungu Leo Asubuhi kwenye miche ya tikiti maji nilikua naomba kufahamishwa kama naweza kumwagilia maji jion ya Leo msaada wenu please
Hapana aisee, kikawaida dawa inakua vizuri ipigwe jioni, kwamba asubuhi mwangilia jioni ndio upige dawa. Shurkan
 
Asante sana kwa Uzi mzuri kama huu, natarajia mwezi wa 12 nami nianze hiki kilimo, lakini mwezi wa 12 ni msimu wa mvua Je nilime tu au niache kwanza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…