Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Yes inawezekanaHivi unaweza kusoma mada za JF bila kujiunga?
Asante.Yes inawezekana
NeverHivi unaweza kusoma mada za JF bila kujiunga?
ukimuita mzizi mkavu Daktari unatukanisha Hii Fani kaka.mkuu kulikua na watu kama
kaunga
EricB52
kongosho
mwali
madame b
madam x
chaichungu
Asprin(babu)
philipo
Vindisel
rutashob...
sweetlady
firstlady
mwita maranya
hao na wengine wengi walikua wana utani fulani jukwaa la mapenzi na chitchat hapo lazima uvutike kujiunga
kwenye tech watu kama
chief mkwawa
njuunwawamavoko
mwalimurct
waheedsuday
youngmaster
na wengine weengi ambao sijawataja wanakudadavulia kitu mpaka unakubali mwenyewe
kule jukwaa la intelijensia
unakutana na watu kama
kiranga
punjab singh
Eiya
(mwana dada mmoja hivi simkumbuki)
Infantry soldier
kahtaan
na wengine weeeengi wakibishana kwa hoja utaachaje kuvutika kujiunga na jf?
kwa madaktari huko unakutana na mzizi mkavu
yaani KIFUPI NILIVUTIWA NA MADA KIBAO MPAKA NIKAJIKUTA NIMEJIUNGA TU
hahaha mkuu nimefarijika kukuona ila ile avatar yako ya zamani ndo ilikua inaendana na jina lako na aina ya post zakoukimuita mzizi mkavu Daktari unatukanisha Hii Fani kaka.
Sema mganga wa kienyeji. hio pia ni fani vile vile.
I'm glad to be back too.hahaha mkuu nimefarijika kukuona ila ile avatar yako ya zamani ndo ilikua inaendana na jina lako na aina ya post zako
Unaweza sema hutocomment au kuweka madaHivi unaweza kusoma mada za JF bila kujiunga?