MADA MAALUM: Baada ya Matokeo ya Kidato cha Sita, Je, Kombi ya Kijana Wako ni Wapi Anaenda.

MADA MAALUM: Baada ya Matokeo ya Kidato cha Sita, Je, Kombi ya Kijana Wako ni Wapi Anaenda.

TODAYS

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2014
Posts
14,747
Reaction score
24,250
Baada ya matokeo kutoka maswali yamekuwa mengi kulingana na kombi ambazo vijana wamepangwa.

Mfano CBG ni moja ya kombi inayoonekana kuwashtua wengi kutokana na somo moja la Geography, kwamba limeingiaje kwenye Biology na Chemistry?.

Lakini hadi sasa kombi hiyo ndiyo inayoonekana kuvutia kwa kuwa inaingia maeneo mengi ya masomo kada ya afya, mazingira nk.

Karibuni kwa mjadala na maswali kwa wadau ili tuwasaidie watoto na wadogo zenu hapa.
 
Back
Top Bottom