Mada maalum inayomuhusu Cha mdeko vs Mr Tunguli

Mada maalum inayomuhusu Cha mdeko vs Mr Tunguli

Shida na raha

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
3,773
Reaction score
3,471
Kwanza niwape pongezi kwa kuwa wavumilivu kwenye uchumba wenu na kumaliza harusi yenu salama.
Lingine nilishindwa kupata wasaa wa kuhudhuria kwenye shughuli hiyo nawaomba radhi kwa hilo.

Na la mwisho nawalika Mr's vs Mr kesho tuonane maeneo yetu ya Mabibo.

Kwa kuwa harusi ilinipita sina budi kuwaandalia kasherehe kadogo kwa ajili yenu wakiwemo na wengine ambao watapata wasaa wabkuhudhuria kwenye kasherehe hako.

Nisingependa watu wafuatao wakose kuja kwenye dhima hii.

  • Daby - wewe utakua mc wetu.
  • Ushimen - kamati ya vinywaji.
  • Bujibuji - vyakula.
  • Curious gal - Kwenye mapambo.
  • The list - utakua unaangalia wanaotaka kuharibu sherehe hiyo.

Hao niliowataja ni wawakilishi tu ila kuna wengi ambao sijawataja lakini wamo kwenye sherehe yetu.
Niwatakia wikiend njema.
 
Kwa sababu unajua nipo Msat toka jana umeamua kuandaa mualikoo usjali kesho ndani ya mabibo na BMW yetuuuuu

Ewaaaaaaaah
Usiwaze mualiko nitaufanya kwali maana jumanne nasafiri kwahiyo tukikosa kesho labda baada ya miezi sita mbeleni.
 
Back
Top Bottom