Mbora ni nini?Mbora katika waongeaji ni yule msikilizaji.
Mwenye ubora.Mbora ni nini?
Ah ah ah ah ahMbora, ubora, bora.
Haya, kasome tena utaelewa nimemaanisha nini.
Mbora wenu ni yule ambae hasemi mpaka aulizweKuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.
Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile.
Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na muwe na akiba ya maneno!
Bado wakati wa daku.Ah ah ah ah ah
Haya bibie kapate daku sasa
kuna jamaa nakutana nalo mahala.limekaa sana nje huko sijui wapi banake aliiba sana huko nyuma. lakini anaongeaga pumba pumbapumbaa.af mbishi sanaKuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.
Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile.
Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na muwe na akiba ya maneno!
WAONGEAJI SANA HUWA WABISHIkuna jamaa nakutana nalo mahala.limekaa sana nje huko sijui wapi banake aliiba sana huko nyuma. lakini anaongeaga pumba pumbapumbaa.af mbishi sana
faiza, hiyo avartar ni wewe?Mbora, ubora, bora.
Haya, kasome tena utaelewa nimemaanisha nini.
Siyo mimi. Huyo ni mwanamke shupavu wa Kiislam aliyekubali kufungwa na hakimu huko USA kuliko kunyanyaswa kwa kuvuliwa hijab yake mahakamani. Msome...faiza, hiyo avartar ni wewe?
Kwakweli mimi hata kama mtu anaongea vp huwa sipendi kukubali kizembeKuna kamama jirani yangu huwa kaongeaji balaa. Nahisi hadi muda wa kupumua huwa kanakosa.
Mtu anaongea mada ya kwanza kabla hujapanua mdomo kuchangia kashamaliza mada ya pili yupo ya tatu. Basi unabaki kukubali kwa kichwa tu
ooh sikujua hilo!Siyo mimi. Huyo ni mwanamke shupavu wa Kiislam aliyekubali kufungwa na hakimu huko USA kuliko kunyanyaswa kwa kuvuliwa hijab yake mahakamani. Msome...
Georgia judge jails Muslim woman for wearing headscarf to court
A city judge in Georgia has in the past eight days barred two Muslim women wearing Islamic headscarves from entering his courtroom, jailing one, and prompting an inquiry from the civil rights office at the US department of justicewww.theguardian.com
Sasa umejuwa. Ndiyo raha ya JF.ooh sikujua hilo!
hakika! miaka yote nilikuwa nikiona avartar hii nikijua ni wewe. wadau wanakuita kikongwe nikiona picha hiyo mdada mbichi roho inakataa!Sasa umejuwa. Ndiyo raha ya JF.
Kuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.
Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile.
Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na muwe na akiba ya maneno!
Ahhhhhhah kuna jamaa nikikutana nae anaongea sana.basi gia yangu naweka alarm baada ya dk mbili ikilia napokea namuaga namuambia "dah kuna jamaa nina ahadi nae"Nabakigi...“ Mmmh! & AISEE!"
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ndio mbinu pendwaAhhhhhhah kuna jamaa nikikutana nae anaongea sana.basi gia yangu naweka alarm baada ya dk mbili ikilia napokea namuaga namuambia "dah kuna jamaa nina ahadi nae"