[emoji1787][emoji1787][emoji1787]hii ndio mbinu pendwa
Kuna watu wamejaliiwa kuzungumza, yani mnaweza kukaa mahala akawa anaongea yeye tuu muda wote.
Kiukweli hawa watu wanaboa hasa ukutane na yule mjuaji na mbishi yani ukitaka kumuongelesha tuu utasiki 'sikiliza wewe mimi najua' ni hivi na hivi na vile.
Nyie waongeaji embu punguzeni kidogo na muwe na akiba ya maneno!
Unahisi tunaweza kujadili nini kwenye hii mada yako maalum??
just curious.
iyo komoa nmeipendaAhhhhhhah kuna jamaa nikikutana nae anaongea sana.basi gia yangu naweka alarm baada ya dk mbili ikilia napokea namuaga namuambia "dah kuna jamaa nina ahadi nae"
iyo komoa nmeipenda