Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Ndani ya CCM kuna makundi yanayokitumia hicho chama kupata maslahi. Ukiwa kundi moja lazima utengwe na jingine!Money has never been a problem anabidi kujua kilichomfanya asiwe hata katika shortlist is not about money Ila ni tabia zake alizozijenga wakati wa 2016-2020.
Kuropoka
Kutukana
Dharau
N.k
Haya mambo yamemnyima nafasi.
Ukijenga Nyumba unashauriwa kuweka mlango zaidi ya mmoja .Ndani ya CCM kuna makundi yanayokitumia hicho chama kupata maslahi. Ukiwa kundi moja lazima utengwe na jingine!
Hana connection na watawalaLeo nimeona Clip ya Cyprian Musiba akilalamika kuhusu kura za maoni ndani ya CCM.
Kura hizo za maoni CCM zimefuta kabisa yale majigambo ya chama hicho kuwa kina uadilifu kwenye kusimamia changuzi ndani ya chama hicho.
Angalau kwenye kila Jimbo kuna malalamiko dhidi uwepo wa rushwa udanganyifu na kila aina ya uhalfu.
Kwa kuwa siyo rahisi kila mtu kuwa na taarifa ya kila tukio la kura hizo za maoni, ni vizuri tukasaidiana kuweka hapa video, maandishi au taarifa yoyote ya maana kuuthibitishia umma kuwa rushwa na aina nyingine ya uhalifu ni kitu cha kawaida ndani ya CCM.
Huyu hapa chini ni Musiba akilalamikia rushwa ndani ya CCM.
Keshasahau alivyokuwa anatukana watu. Ilikuwa kama ndiye msemaji wa Serikali zama Magufuli akiwa Rais.Fanya uwezacho Musiba, ukikosa fedha huna chako kwa jamii nyingi za kitanzania