Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,813
- 11,540
Nahisi police walitoa taatifa bila kujua kuna picha. Sasa baada kuripoti utopolo wao. Watu wakatoa pichaAlama za barabarani ndio za kuzingatia na ndio zinaamua kosa
Hahahaha, aisee mm kama ningekuwa derea wa malori ..ningebamiza wanyankore wa UgandaWanawapelekea mchele na moto vizuri
Hahaha Niko nae mmoja ana ishi mbarara townUngelowea huko nakuambia.. Maana wakifika pale kileleni wana vijito vinatiririsha maji hatari
Ah iyo ngumu sanaAngalia usije ukatekwa mazima[emoji2]
😁😁😁😁Welcome back bro, we missed you
Hii wapi mkuuImeondoka na familia yote hii ajali[emoji29][emoji29][emoji29]View attachment 2060277
Hiace ni mbaya sana endapo ukikaa mbele, haina pua (sehemu inapokaa engine)
Hao jamaa ni noma gonga mnyama wao hata kuku tu uoneNikiwa juba huko nilikuta hii alama barabarani eti ina maana gani madereva wenzanguView attachment 2088086
Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria zao mkononi mnamalizana hapo hapoHao jamaa ni noma gonga mnyama wao hata kuku tu uone