Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Nina Golf ya 2006, nani anajua gereji au fundi anibadilishie plug. Au nipate manual itasaidia pia. Kwenye Internet sijafanikiwa kupata.
 

Maybe spelling errors
 

We ndooroooboo kwelu,hivi unadhani nilivyo andika ndio nilivyo?umechemka kwa taarifayako hizo gari zoote mbili ninazo nauliza tu na ukitaka ngeli nipo vizuri kuliko mwl wako kenge wewe
 
We kenge usizarau watu usio wajua nyama wewe,huni gusi hata mpange ukoo wenu woote kima we
 

Next time kiongozi, usifanye personal attack, tuna mengi ya kujifunza, kumvumilia yeyote inatafsiri busara na makuzi ya mtu, matusi nk ni utoto na si mahali pake !tuwe tunajadili issues!! mbarikiwe nyote
 
habari zenu wanajamvi je kuna mtu anawezakuwa na diode na cut ya kwenye alternator volt 12 au wapi naweza kupata used kama yes npm mkuu
 


Mkuu nina dream na range rover sport je vip kuhusu hizi gari nazipenda sana japo dream car but nipe maoni yako kuhusu range rover especially fourth generation
 
Iko too general hebu ifafanue usaidike special agent
ya alternator ya gari gx 110 inanyonya betri fundi ameniambia imekufa kwa hiyo haifui umeme so nataka ya kubadilisha. Gari ikiwaka baada ya kubustiwa inazima ukitoa betri ya msaada.so kwa ushauri ni bora ninunue hivi vitu au ni badilishe altornator yote?
 
Last edited by a moderator:
Next time kiongozi, usifanye personal attack, tuna mengi ya kujifunza, kumvumilia yeyote inatafsiri busara na makuzi ya mtu, matusi nk ni utoto na si mahali pake !tuwe tunajadili issues!! mbarikiwe nyote

Si hilo boya,usikute kwanza nimekuajiri wewe
 
Sio wewe mkuu ni ho jamaa linalo dharau watu lisilo wajua
 
Sio wewe mkuu ni ho jamaa linalo dharau watu lisilo wajua
Anyway, take it easy bro, lakini mkuu kwa uandishi ule ilikuwa ni swagger tu au ni nini hasa? Tunajua unajua, nasi tunaomba utujuze tujue zaidi.
 
Mh kumbe una hekima hivyo?ok nimekupata,niuandishi tu mpwa.twende kazi
 
Mkuu mshana jr habari yako. kwanza hongera kwa kuasisi thread kama hii ambayo inajenga...wewe ni mmoja wa watu wa kuigwa na ikiwa kama kila mmoja kutokana na utaalam wa taaluma yake akaamua kuanzisha kitu kama hiki basi tutafika mbali... big up mkuu...
Me nataka kuagiza garo la Toyota Rav4 2005 kutoka uingereza. sasa kama unachochote cha kuniambia kutokana na uzoefu wako kuhusu gari hii (ubora na tatizo) nitashukuru na itakuwa msaada mkubwa katika uamuzi wangu.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wakuu
nilikuwa nauliza vipi kuhusu uimara na matumizi ya mafuta
fuel consumption kwa Suzuki grand vitara 2015 model? 2.4cc (2400cc)
4cylinder

Natanguliza shukrani.
 

Thanx kaka agiza tu hiyo haina kabisa japo kwa fuel consumption iko juu kidogo
 
Last edited by a moderator:

Bora kubadili alternator kwa uhakika zaidi
 
Heshima kwenu wakuu
nilikuwa nauliza vipi kuhusu uimara na matumizi ya mafuta
fuel consumption kwa Suzuki grand vitara 2015 model? 2.4cc (2400cc)
4cylinder

Natanguliza shukrani.[/QUOTE

cc;Mshana jr
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…