Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Mshana Jr natafuta body ya rav 4 short chasis kwa uzoefu wako inaweza kufika shs ngapi
 
Mshana Jr natafuta body ya rav 4 short chasis kwa uzoefu wako inaweza kufika shs ngapi

Ni kati ya milioni moja na milioni mbili kutegemeana na hali yake
 
duu jamaa ameniuzia kama spea hakuna kadi hapo mtihani wake sijui utakuaje

Ni body pamoja na cabin au ni body pekee? Ni gari gani kwanza! Kama ni body pekee shida sio kubwa
 
Wadau Samahani maana uzi ni mrefu na huenda umeshajadiliwa mimi nilikuwa naulizia nissan xtrail nataka niiagizie lakini sijui ubora wa hii gari,gharama za uendeshaji ikiwemo spare, na running cost zake naomba kujuzwa wadau
 
Mwenye kuhitaji ani pm number nimuunganishe kwenye group la whatsapp kuhusu mada maalum ya magari,kuuza,kununua na ushauri.mshana jr atakua admn
 
Wadau Samahani maana uzi ni mrefu na huenda umeshajadiliwa mimi nilikuwa naulizia nissan xtrail nataka niiagizie lakini sijui ubora wa hii gari,gharama za uendeshaji ikiwemo spare, na running cost zake naomba kujuzwa wadau

Naomba msaada wanajamvi

Mshana jr

Binafsi nj gari ambazo nazipenda japo body sio imara sana lakini kwa michango ya humu jamvini inaelekea zimewasumbua wengi hivyo ni vema ukafikiri mara mbili uamuzi wako wa kumiliki hii gari
 
Mshana Jr natafuta body ya rav 4 short chasis kwa uzoefu wako inaweza kufika shs ngapi

Nimeipenda ahsante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…