mgoshawampasa
Senior Member
- Jul 30, 2014
- 105
- 27
Wadau, ninashida ya spare ya subaru sambar model V -KS4, fundi ameniambia ni sensor ya kuruhusu hewa kwenye engine, nitaattch picha, nimetafuta nimechemka. Halafu mshana jr niliomba Uniadd kwenye group naona kimya
Asante, ngoja nijaribu pia hiyo njia, maana gari inakuwa nzito sana unapoiamsha popote ili ianze kutembea.....then ikichanganya inaenda safi utapanda kila minuko wenye barabara.
naomba msaada kwa yeyote anayejua jinsi ya kupata hii control box hapa tz
Nissan 23710-3J304 9N
Ooh sorry kaka tafanya hivyo ASAP, kuhusu hiyo sensor wasiliana na dealer wa Nairobi
Hebu nipm no yako pls
Wadau, ninashida ya spare ya subaru sambar model V -KS4, fundi ameniambia ni sensor ya kuruhusu hewa kwenye engine, nitaattch picha, nimetafuta nimechemka. Halafu mshana jr niliomba Uniadd kwenye group naona kimya
Wewe.......hao beforward si wana mall hapo Dar.......kila kitu kipo humo......ma nose cut.......ma taa.......ma brake cable......ushindwe mwenyewe.........
Waifu, Asante kwa ushauri, ila nimesearch kwenye website yao nimetoka holaaa........
mkuu Gari aina gani hiyo na upo wapi ww nikusaidie .kutatua hilo tatizo
Mshana niunge kwenye no 0754065573