Tujuzane mkuu maana gari inapoteza mvuto
Mambo vp wataalam
Nina gari aina ya carina matako ya nyani
1.Taa ya check engine inawaka muda wote nimepeleka kwa mafundi ila hakuweza kulitatua
2.Ikiwa speed 70 na kuendelea inatetemeka sana sometimes inakosa nguvu kabisa
3.inakula mafuta sana
Nlikua na tatizo kama hilo kwenye raum. Mafundi kibao wakachemka. Nikampelekea jamaa flani sinza lion hotel kule kumbe coil za plug waoshaji walitia mJi. AkZichange saivi mwendo mdundo
Nlikua na tatizo kama hilo kwenye raum. Mafundi kibao wakachemka. Nikampelekea jamaa flani sinza lion hotel kule kumbe coil za plug waoshaji walitia mJi. AkZichange saivi mwendo mdundo
gari yangu ni automatic nikibadilisha gear kutoka P kwenda R au D inakuwa inashtuka, kwenye dashboard hamna taa yoyote ya hatari inayowaka, je tatizo itakuwa ni nini?
kazi ndogo hiyo. Gari automatic inatumia brake kama clutch hivyo mpelekee fundi aangalie kama brake ziko sawa
Nina verosa inapiga makelele kwele nikiwa naanza mwendo then mida inatulia haikua hv what's the problem