Wadau...msaada wa taarifa...rav 4 old model...5 doors (btn 1996 hadi 1999) zinauzajwa kwenye show room dsm? Avarage price.. asanten
Sasa kama wanaomba kuingia halafu wanatoka maana yake ni nini.......?......watu wengine bana......Limit ni 100 lakini in and out nyingi hivyo graph inapanda na kushuka
Hahahahaa unajua kule si Kama hapa, kule watu wanajiachia na chitchat nyingi mpaka inapotokea mwenye tatizo ndio anasaidika sasa kwa njia hii pengine wengine wanaborekaSasa kama wanaomba kuingia halafu wanatoka maana yake ni nini.......?......watu wengine bana......
Ingekuwa grp langu ningewatwanga spana ya kichwa mimi.......
Hahahahaa unajua kule si Kama hapa, kule watu wanajiachia na chitchat nyingi mpaka inapotokea mwenye tatizo ndio anasaidika sasa kwa njia hii pengine wengine wanaboreka
Habari Wakuu
Naomba kueleimishwa tofauti kati ya Toyota Grand Mark 2 na Toyota Mark X katika mambo haya
1. Ubora/uimara
2. Ukubwa wa injini
3. Gharama za service
4. Mifumo ya kiumeme
5. Mengineyo mnayojua zaidi
Matumizi yake ni pamoja na safari ndefu kama za Dar to Tunduma na kuna wakati ntahitaji kupita barabara za vumbi
Nawasilisha
Old model or new modelNaomba msaada wa kuweka RAUM overdrive maana sioni kitufe cha namna hiyo kwenye gari yangu au kina alama nyingine?
New modelOld model or new model
aluu tena na mm.naisaka ya mwaka 98/99 ila ya kishkaji.....vepee.....?Agiza mwenyewe......utalipa kati ya 16-18......Ila chukua ya mwaka 1998/99......ukitaka kujua tofauti na ya 96/97.....angalia taa kubwa za mbele.........
Hivi hizo zipo kweli?Wakuu mwenye Noah manual .anicheki
Mfumo wake hauna overdriveNew model
aluu tena na mm.naisaka ya mwaka 98/99 ila ya kishkaji.....vepee.....?
Bado ni gari mpya hazijakaa sana Tanzania na zinamilikiwa na wachache, ambao kati yao wamezisifia lakini fuel consumption iko juuNaomba kujuzwa kuhusu toyota alphard kwa wenye kujua au waliotumia. Naopenda space na comfort ndani ila sijui uimara wa injini na maintenance yake.... Vipuri n.k
Asanteni
Haha kiruu iyo itachemsha yaeda chini ujueHa ha.......zimeshaliwa na mbuzi.......chukua Vanguard wewe..........