Hahahahah mkuu sio kweli now ni dunia ya kidigital bana frequency zinaongezwa kama kawaida mbona.Hapo hakuna addition ya frequency cha msingi badilisha redio ziko dukani kama Sony zinamaliza frequency
D
Hahahahah mkuu sio kweli now ni dunia ya kidigital bana frequency zinaongezwa kama kawaida mbona.
Sema ww ndio hufaham hilooo.
Mkuu hapo tafuta jiko jipya 2Wakuu nina Toyota Hilux double cabin SRX ya mwaka 1995 ina engine ya 3L diesel. Gari ilikua imepunguza nguvu sana ukizingatia nimekua nikifanya service bila kupitiliza. Nimepelela kwa fundi wangu kasema inatakiwa kufanyiwa overhaul..swali langu ni kwamba nifanye overhaul au ninunue Engine nyingine?..mana nimesikia overhaul hua haisaidii sana kuboresha engine ya diesel. Nitafurahi kupata mawazo yenu wana jamvi
Kama duka hao jamaa wanaitwa Kama Zali hapa dsm hapo ni uhakikaSawa je wapi naweza kupata engine nzuri isiyo ya hapa tz
Kapime wheels alignment na wheels balancewakuu me gari yangu imeweka matege taili za mbelee zimetoka kwa njee kidogo nini kinaweza kuwa kimeishaaa
Andaa M3-4Unaweza kujua bei
wenye uzoefu na mafundi ushauri wenu ni muhimu sana katika hili, nimekutana na gari kwenye mtandao bei yake ikiwa ni reasonable but ina hitilafu ubavuni kama picha inavyoonesha, naomba ushauri wenu kama dosari hii inaweza kunisababishia matatizo endapo nita import gari hii
naona kuna Member kakujibu hapo chiniMkuu Ukwaju,
Kwa nini siyo VOXY..? Plz niweke sawa vile mie nataka kuvuta hiyo kitu.. Thanx
Mshana nimekucheck in-boxKaribu sana
naona kuna Member kakujibu hapo chini
kuna tofauti kubwa kati ya Noah-Voxy ambazo nyingi zinavutia mbele na nyingine zikiwa na D-enjinizikichanganya na 4wheel na hata muundo wake ni mkubwa lakini kwa chini kwa ajili ya suspension ya Torsion bar ni km inagusa barabara zetu
Toyota Voxy has lower ground clearance than the Toyota Noah, so it sometimes interferes with speed humps.
Why do mechanics dislike D-4 engines, Toyota Voxy?
The second generation Noah was released in 2007. This version has a 2.0 L gasoline direct injection engine, CVT and standard front wheel drive or available four wheel drive. The second generation Noah was discontinued in Japan when the third is still in production in Indonesia as the Toyota NAV1 .
Noah za LiteAce au Tdown Ace nyingi zina injini mbele na inatumia Difu
kwa maelezo zaidi inaweza kubofya hapo chini uone na wenzetu wanasemaje kati ya hizi gari
To buy a Voxy or Noah?
Shikamoo Mkuu Ukwaju.. Very thanks..!
Naomba nifanye guess work, kuna uwezekano wa leakage ndogo sana kitu ambacho pia ni hatari sanaGari yangu ni Toyota Will VS, 1794cc, engine ni 1ZZ-FE. Tatizo la hii gari ni kutumia mafuta mengi. Lita 50 (full tank) inaenda kati ya 320km hadi 350km, mafuta yanaisha. Nimebadili plugs zaidi ya mara 3, recently nimebadili nozzles baada ya zile za mwanzo kuonekana zinamwaga sana mafuta, tatizo bado lipo palepale, sioni nafuu. Kuna wkt gari inakuwa nyepesi sana, na kuna wkt iakuwa nzito hasa nikibeba mtu mmoja au wawili nyuma. Mafuta huanza kuisha haraka sana hasa tank likibaki nusu. Tatizo laweza kuwa nini?
I'll have to consider every possibility aiseeNaomba nifanye guess work, kuna uwezekano wa leakage ndogo sana kitu ambacho pia ni hatari sana
mkuu niliweka but nadhan ni tatizo la kiufundi haijatokeza, naiweka tena ili utoe maoni yako mkuuUngeweka picha ingekua poa sana