Step by step
JF-Expert Member
- Apr 28, 2014
- 1,164
- 1,293
Nashukuru mkuu, huwa naifanyia baada ya KM2500
kwasababu gari ni lako na unalipenda si mbaya ila kama gari haina miaka mingi sana na mashine bado nzima fanya km 3000 ni sahihi kabisa hyo ya 2500 ni matumizi mabata ya pesa mkuu km 500 izo unakua umesogea kidogoNashukuru mkuu, huwa naifanyia baada ya KM2500
Hiyo ni kawaida kama ikiwasha signs zote zinawaka na kuzima, ingekuwa hazizimi ndiyo lingekua tatizoNinapo washa gari signs zote zinawaka red then zinazima
Si kila mtu anajua magari yakoje, msaidie naye ajueHa ha......labda inataka kulipuka........
Afu uache kutuenjoy ujue........
Na ndio maana macho yake yapo kodo kodo......we iangalie uone.........ila engine iko nyuma
Umecheki oxygen sensor kama ni nzima,kafanye check up diagnosis tools utajua tatizo. lake tuHabari mika wana jamvi,
Mimi naomba ufahamu kuhusu gari langu aina ya Kia sportage.... Inanisumbua inawaka lakini haichanganyi mafuta... Nimebadili plugs... Air flow na fuel injection zote lakini tatizo bado liko palepale na inatoa harufu kali ya mafuta yasioungua vizuri kwenye exhaust. Pls mwenye uzoefu na gari hizi anisaidie
Hili hapana mkuu
Hii mkuu huikubali?
mkuu hii jf mpzaa naona inanipa shida hata PM sijui inatumiwa wapi. imenifanya nimekuwa mvivu sana kutembelea jf 0717 228064@ LEGE nipm no yako mkuu na jambo la kuongea
Dah hata mimi nafikri hatujaizoea hii vasion mimi nikitakureplay thread keboard inaonyesha Emoj tu.mkuu hii jf mpzaa naona inanipa shida hata PM sijui inatumiwa wapi. imenifanya nimekuwa mvivu sana kutembelea jf 0717 228064