Nyingi kwa uzoefu Wangu ziko vizuri ila parts kidogo ni chache na zipo juu kiasiNaombeni kujua kuhusu Volkswagen Tiguan na saloon car VW Passat,bei zake mtu ukitaka kuimport,kuhusu ubora,mafuta, spare parts,
niko shallow kwenye hii sekta ya magari
Oky bei hapo zimekaaje,hadi ukishalipia kodiNyingi kwa uzoefu Wangu ziko vizuri ila parts kidogo ni chache na zipo juu kiasi
Kama ni manual mpe fundi akubadilishie clutch rubber ya chini na juu zitakua zimechoka hivyo mgandamizo wa break fluid ukifanyika inavuja hivyo inapelekea jamming .. Chakufanya Wewe nunua repair kit itakucost total 20K @ 10K.Nina landcruiser inasumbua sana kwenye cluch .wakati mwingine inajam na wakati mwingine gear zinakataa kingia nn suluhisho?
Mhhh parefuuNiongelee kwa moja niliyoiona bandarini kwenye mnada ilikuwa milioni 30
Akhsante mkuuShida iko kwenye gearbox
peleka kwa fundi mwambie afungue sampo ya giabox inapokaaga hydrolic then aisafishe vizuri kabisa baada ya hapo weka hydrolic yenye viwango kama ya bp kama bado haitabadili gia fasta uje utoe mrejesho hapaWakuu
Kagari changu ni Carina ti inachelewa sana kuchanganya ninapokanya mafuta, nini tatizo?
Akhsante mkuu umenipa pa kuanziapeleka kwa fundi mwambie afungue sampo ya giabox inapokaaga hydrolic then aisafishe vizuri kabisa baada ya hapo weka hydrolic yenye viwango kama ya bp kama bado haitabadili gia fasta uje utoe mrejesho hapa