Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Hiee Nina raum new model nkiwasha gari taa ya engine ya njano inawaka n mda mwingine inazima.tatizo itakua nini

upo wapi mkuu,dar au nje ya dar??
hapo lazima ujue au kufanya utaratibu kufaham kwa nn inawaka?? lazima kwenye engine kutakuwa na tatizo.kama upo dar tuwasiliane 0717228064
 
Wakuu habarin Nina gari tangu nimeimiliki ni mwez sasa Niko mkoan kwa sasa nilipokuwanayo dar muda Wa kuiwasha taa ya temperature ilikuwa haiwaki lkn tangu niwe nayo huku mkoan nikiiwasha taa ya temperature inawaka lkn baada ya mwendo mfupi inazima wajuz msaada
 
Nipo Dodoma.walifunga cylinder gasket sasa and kuanzia hapo gar kama wamechokozaa.taa hiyo inawaka.kuna mtu akasem eti wamekosea timing.sasa mim sielew mana napata hofu kutok nayo na kazini napandisha mlimaa.plz nisaidieni mana gar ilikua nzima kabisa haiwak taa hizo.Ila bada tu ya kufunga hicho kifaa ndo imekua taabu.msaada plzzz
 
Inashangaza sana, mtu kanunua gari cc1890 alafu bado anaogopa fuel consumption kwa kuweka ac..nadhani mtu wa hivyo anafoji kumiliki gari
Try to soften the blow! Hii kauli ni kali sana mkubwa wangu. Anyway asante kwa ushauri, ni kutokuelimika kwa watu ndio maana wanafanya hivyo.
 
Go for grand Vitara
 
hongera sana mkuu kwa kuwa na budget ya kununua gari hasa kipindi hiki cha magufuli ambacho kila kiongozi anatafuta sifa.
Ushauri wangu nazani bado hujaweka mazingira halisi ya huko rufiji vijijini maana wengi hatupajui ila kama kweli ni vijijini kwa maana ya barabara mbovu sikushauri kabisa kununua yeyote kati ya gari ulizotaja labda ukimbilie rav4 ila kama sio njia mbaya sana chukua grand vitara hizo xtrail najua kuna siku utakuja omba msaada humu af ni kama huwa haziuziki hata ukiichoka ni ndoa ya kikristo
 
inawezekana aliye kwaambia akawa saa hii au asiwe saa hii usahihi wa hapo nifundi kuichek.aither kwa kutumia mashine au manually yote itakupa jibu sahihi.
upo dodoma sehem gani mkuu kama hapo mjini kuna fundi bikupe namba yake anaweza kukusaidia au kama unauelewa kidogo wanikikuelekeza tuisome fault code ww nakuelekeza wapi kwa kugusa ili iweze soma fault code then baada ya hapo unarecord nakunitumia kwenye watsapp au unasoma mwenyewe then ukinambia mm nitakwambia ni nn tatizo kwenye gari yako.

tuwasiliane
 
ni.gari aina gani mkuu na.je huwa inawaka taa gani?? maana kuna taa 2 za tempereture blue /green hii kawaida na red hii ndio mbaya inamaanisha gari inachemsha au overheating je ww huwa inawaka ipi kati ya hizo.
 
Naombeni ushauri ndugu zangu wanajamii nataka kununua Toyota Rv4 ila si mtaalam saana wa hizi gari hususani new modern na old zipi zip poa hasa kwa upande wa vipuli hupatikani wake,na consumption ya fuel...ushauri plz na hapa bongo naweza pata kwa sh ngapi
 
Go for new model lakini parts ziko juu kidogo
 
Mkuu Toyota Corolla Spacio new model na Suzuki Aerio......ipi inaweza ikawa bora kwa mazingira yetu hasa wa huku mikoani ambako barabara ni shida..
Mmh hizi zote ni generation moja
 
Mshana,hivi Suzuki Maruti ina CC ngapi,na Nisaan Patrol ,na Toyota Hilux zina CC ngapi mwenye uelewa anijuze tafadhari sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…