Tyr zina mudawake umeandikwa mshana atakuja kuelekeza ukiona huo muda umeisha tyr bado ikopoa usiende long dist NA kama unapata Wa kumuuzia ununue mapya better piaMshana jr tupe pia elimu ya kufanya services magari,ni vitu gani hasa vya kufanya wakati wa kufanya services,Je tyres zinabadilishwa baada ya mda gani?
Mkuu nirushie huu Uzi kwenye pm kama possible thxkusave ulaji wa mafuta kwenye gari ya automatic kuna njia nyingi sana kuna uzi upo humu unazungumzia njia.hizo lakini hata jinsi unavyoendesha gari pia unaweza ukasave mafuta pia.
Mbutaaa kidude seeHa ha.......mkuu mimi mwenyewe natafuta pick up ya Peugeot ya kwenda shamba........kidude kigumu sana kile........
nadhani hawatengenezi roho za paka kama zile tena............
Naomba ushauri wakuu,,sina uzoefu wa magari,,nataka kununua gari la automatic na nilibadili kuwa la manual....je inawezekana? na iwapo inawezekana ni matatizo yapi ya ufundi ntakayo kutana nayo? gari litakuwa sawa na mtu aliyeagiza gari la manual?? Kama inawezekana naomba waliofanya hivyo na wakafanikiwa wanieleze changamoto za kiufundi walizokutana nazo....thanks in advanceKumekuwa na mada nyingi kuhusu mambo yote yahusuyo magari, nikaona basi na sisi tuwe na Uzi huu ambapo habari zote zihusuzo magari kuanzia kuchagua, kuagiza, kuuza, kubadili nyaraka, matengenezo utunzaji na kadhalika.
Watu wengi wametapeliwa kwenye mauzo na manunuzi, kwenye nyaraka, kwenye vipuri kwenye matengenezo na hata matumizi.
Kwa Uzi huu basi kila mwenye ujuzi, uzoefu, ushauri au mwenye maswali na tatizo lolote linalohusiana na magari hapa ndio pawe uwanja wake
Karibuni sana
Ushauri: Jinsi ya kununua gari iliotumika ndani ya Tanzania
Tahadhari kali kwa nyote mlio na magari binafsi; chunga sana na waambie wengine!
USHAURI: Ununuaji wa magari...
View attachment 225786
mkuu ni gari aina gani hiyo ambayo unataka kuifanya hivyoo?!Naomba ushauri wakuu,,sina uzoefu wa magari,,nataka kununua gari la automatic na nilibadili kuwa la manual....je inawezekana? na iwapo inawezekana ni matatizo yapi ya ufundi ntakayo kutana nayo? gari litakuwa sawa na mtu aliyeagiza gari la manual?? Kama inawezekana naomba waliofanya hivyo na wakafanikiwa wanieleze changamoto za kiufundi walizokutana nazo....thanks in advance
Kwa maana nyingine unanihakikishia ni jambo linalowezekana....nataka kubadili hiace iwe ya manualmkuu ni gari aina gani hiyo ambayo unataka kuifanya hivyoo?!
kwa upande wangu nazipenda sana manually na gari nyingi zishabadilishwa na zinakuwa powa kabisaa.coz kuna.gari nyingine huwa wanakuwekea na akiba ya manually kabisa kama kwenye body utakuta kunasehem kabisa ya kufunga pedal ya clutch na master cylinder ya clutch
wakuu naomba mchango wenu wa mawazo.....Naomba ushauri wakuu,,sina uzoefu wa magari,,nataka kununua gari la automatic na nilibadili kuwa la manual....je inawezekana? na iwapo inawezekana ni matatizo yapi ya ufundi ntakayo kutana nayo? gari litakuwa sawa na mtu aliyeagiza gari la manual?? Kama inawezekana naomba waliofanya hivyo na wakafanikiwa wanieleze changamoto za kiufundi walizokutana nazo....thanks in advance
Halafu traffic wetu walivyo wajinga na wapuuzi wanawapiga watu notifications bila kutoa elimu juu ya hii barabara mpya hasa kwenye junctionsNingependa kujua kama utaratibu mpya unaotakiwa kutumika pale kwenye junction ya Morogoro Rd na Kawawa Rd (magomeni) umeanza kutumika au ni hadi pale huduma ya mabasi itakapoanza.
Mfano, kama unatoka jangwani kwenda kinondoni hutakiwi kukata kulia pale kwenye mataa. Badala yake unatakiwa kwenda kwenye U-Turn kule kwa sheikh Yahya.
Binafsi na nakutokana na ushauri wangu binafsi sikushauri ufanye hivyo kutokana na utaalam wetu kuwa hafifu
mkuu mm nakumbuka mara ya mwisho gari ambayo tuliibadili hivyo ni mini cooper.kama upo dar nipe mm hiyo kazi mkuu kama upo dar.sababu sio kazi ya kuumiza sana kichwa ni kazi ya kutoa na kufunga tuu. hapo.wakuu naomba mchango wenu wa mawazo.....
LEGE hapa tunapeana maarifa si kwamba nimesema haiwezekani bali nimesema kutokana na utaalam wetu hafifu ila kupitia reply yako nimegundua kuwa kuna mahali mtu anaweza kusaidika with guaranteemkuu utaalam upi unao takiwa hapo??
hakuna utaalam wowote unaohitajika hapo mkuu wacha kujishusha bana.
hiyo gari yenyewe ni haice.
hapo anachotakiwa kuwa nacho ni gearbox ya manually,gear river,pedal ya clutch,master cylinder ya clutch biashara imekwisha.
labda na peday ya brake kama itahitajika sababu kuna gari nyingine pedal ya brake huwa kubwa pana sana hivyo ukiweka na ya clutch inakuwa shida kidogo. mkuu hakuna modification kubwa inayohitajika hapo harafu wazungu walivyokuwa na akili zaidi sababu huwa wanajua wenye mawazo kama yako mpo wengi sana basi huwa wanawawekea na akiba yenu kwa matumizi ya mawazo yenu sehem.za kufunga pedal sijui gear river na master cylinder huwa wanawawekea kabisaa.
na kama mkuu ukitaka usichomelee au kugonga gonga fanya nunua vitu vya kufanana na gari kama hiyo yako ya manually yake.
kama unapatikana dar mkuu tuwasiliane
Mkuu nimenunua body la Toyota Hilux SURF ilikuwa automatic, nataka nivalishe gearbox manual, nipe ushauri mkuu.mkuu mm nakumbuka mara ya mwisho gari ambayo tuliibadili hivyo ni mini cooper.kama upo dar nipe mm hiyo kazi mkuu kama upo dar.sababu sio kazi ya kuumiza sana kichwa ni kazi ya kutoa na kufunga tuu. hapo.
naongea hivyo sababu nishaona nishafanya na bado watu wanafanya hivyooo.
daladala kibao macoaster watu wanabadili automatic na kiyaweka gearbox za manually kila leo inanunuliwa gari mpya ya automatic kwaajili ya daladala wanaivua gearbox ya automatic na kuivisha ya manually.