Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,384
Mm nadrive v6 yake na sijawahi ona km fuel ni tatizo, achana na biashara za kukuletea umaskini. J20 bafo ni fuel economy sawa na rav4 tuNapenda body ya hii gari kwasababu inahimili mikiki ya mazingira yangu, hasa rough road.
Hivi vigari vidogo ntaviua mapema.
Aisee hapo ni shida nilishawahi kukutana na kesi kama hiyo gearbox ikabadilishwa zaidi ya mara nne, unafunga inakuwa poa ila round moja ya kutest ukirudi Kimeo! Gearbox ya mwisho kufungwa ikatulia lakini ulaji mafuta ukawa maradufuNaomba msaada, gari Ipsum model TA ACM21W ya 2002 inasumbua kuingiza gear, ukiwasha ukiweka drive kisha ukakanyaga mafuta ule mshale wa rpm unapanda mpaka mwisho lkn gari haitembei, imebadilishwa gearbox, ikakaa sawa kwa lisaa limoja, then imeasumbua tena kwa tatizo hilohilo, naomba mwenye ujuz na uzoefu anisaidie ushauri wa kutatua tatizo hilo, Shukrani sana!
UuuuwiAkhsante m lookkuu umenipa plhh hphha kuanzia
Ahsante mkuu, ndo natafuta utatuzi wa tatizo niiweke vizuri kabla haijauzwaAisee hapo ni shida nilishawahi kukutana na kesi kama hiyo gearbox ikabadilishwa zaidi ya mara nne, unafunga inakuwa poa ila round moja ya kutest ukirudi Kimeo! Gearbox ya mwisho kufungwa ikatulia lakini ulaji mafuta ukawa maradufu
Ushauri : uza hiyo gari utafute nyingine
ni vile huwa mara nyingi hatuhesabu gharama za vocha, nadhan ishapita miln! Usumbufu kweli, kupata gearbox nzima ni shida mnoUnaweza kupoteza si chini ya milioni, japo uko sahihi
Unaenda na mkataba wa mauziano TRA , kuna vishoka wanayo hiyo mikataba lakini ni vema ukaenda reception moja kwa moja kupata utaratibu sahihiHabari za majukumu ya hapa na pale!
Naomba kujua namna ya kubadili mmiliki wa gari kwenye Kadi ya gari, kabla sijaingia kichw kichw TRA!
Huwa wanahitaji na copy ya kitambulisho (chenye majina yaliyo kwenye kadi) cha aliyekuuzia hiyo gari.Unaenda na mkataba wa mauziano TRA , kuna vishoka wanayo hiyo mikataba lakini ni vema ukaenda reception moja kwa moja kupata utaratibu sahihi
Nenda Biafra pembezoni na chuo cha OPEN mpk ukitaka kama ya obama ipoWadau, nina premio old model..nataka nikarudishie rangi ...kamepauka...sasa naomba mwongozo kwa dsm wapi wanapiga rangi vizur na bei zikoje....asanten
Kuna kitu wengi hawakijui booster ya break inavujisha pressure hivyo kuruhusu vacuum inayotoa gap kwenye system ya gearbox na gear na hivyo kusababisha ule mstuko na mara nyingi ni kwenye gear kubwa reverse na no 1Wakuu naomba ushauri nina gari suzuki escudo engine G16 A automatic kila nikiingiza gear iwe R au D gari inastuka nilimpa fundi mmoja akasema tatizo ni mount ya gearbox tumeweka mpya lakini tatizo linaendele pia tumepunguza sailensi lakini tatizo lipo palepale jee tatizo ni nini gari kushituka hivyo?