Weka 3lWakuu naomba ushauri, nina Surf Toyota Hilux, nataka niibalishe injini, mnishauri kati ya 3L na 5L ipi itanifaa. Kiufupi ni gari ninalolitumia kwa safari ndefu, kwa sasa lina injini ya 2LT ambayo imechoka, gearbox ni manual. Wataalam naomba mnishauri.
Wakuu naomba ushauri, nina Surf Toyota Hilux, nataka niibalishe injini, mnishauri kati ya 3L na 5L ipi itanifaa. Kiufupi ni gari ninalolitumia kwa safari ndefu, kwa sasa lina injini ya 2LT ambayo imechoka, gearbox ni manual. Wataalam naomba mnishauri.
AsanteZiko vizuri spare utapata kwa wingi South hapa bongo mtihani
Harrier ni nzuri lakini inapenda matunzo kama yaiWadau,nawaombeni ushauri, nataka kununua gari kati ya Suzuki Escudo 3rd model au Toyota Harrier. Plz naomba mwongozo wa ubora, uimara na gharama za matunzo kwa gari hizo au nyingine ni kwa matumizi ya kawaida tu. Thanks in advance..!
siyo lazma iwe binafsi ata kama una links au unamjua mtu yoyote ambaye anazo msaada toshaBinafsi sina
Hii gari nayo kuna mtu ananinadishia, nami naomba nifuatilie ombi lako humuOoh OK OK sawa
Pouwa
Hakuna shida yoyote zaidi ya mazoea kwahiyo usijali kabisaKiongozi na wakuu wengine,
Eti kuna tatizo kuagiza gari nchini ambalo kuendesha ni upande wa kulia, badala ya kushoto kama iliyozoeleka Tz? Nini madhara yake na usumbufu wake?
Je, kuna magari mengi chini ya right-hand traffic?