Mada maalum ya magari: Uzoefu, ushauri na maswali

Muone fundi umeme wa magari, atakurekebishia ndani ya dakika chache tu
 
Naomba kuuliza kuhusu magari mawili Rav4 old model na Harrier old model, Kama kuna anaejua vizuri anieleze kila gari uzuri wake na mapungufu yake,uimara,upatikanaji wa vipuri,comfortability,
 
Naomba kuuliza kuhusu magari mawili Rav4 old model na Harrier old model, Kama kuna anaejua vizuri anieleze kila gari uzuri wake na mapungufu yake,uimara,upatikanaji wa vipuri,comfortability,
Binafsi linapokuka suala la uimara naona RAV4 Old Model naipendekeza
 
mkuu tatizo kama hilo limeshanipata. kama maji yameingia kwenye ile circuitboard ya powerwindow yanaweza kusbabisha hilo tatizo. mimi na fundi tulifungua akanionyesha hadi alama ya maji yalivyosababisha hiyo short. kwa sababu ninajue electronics kidogo huo ndio ukweli. ushauri wa mwisho ni kubadilisha ununue mpya.

ngoja wazoefu waje wakusaidie zaidi...
 
mshana jr and all, alama hii kwenye dashboard ina maana gani?imenitokea jana alafu haijawahi kutokea...aina ya gari nayotumia ni AUDI A4
 
Habari la leo wataalamu, binafsi naomba nisaidiwe kuifahamu gari inaitwa Toyota Isis, uzuri wake na ubaya wake.
 
Kimya sana humu.....wapi kuna mafundi wazuri wa kuiinua gari, nilimnunulia wife MarkX sasa iko chini sana kwenye rough road anapata tabu nataka kuiinua juu kidogo
 
Jmn naomba kuuliza ist inalia ka spring za kitanda cha chuma ukiendesha ishu inaeza kua nn
 
Jmn naomba kuuliza ist inalia ka spring za kitanda cha chuma ukiendesha ishu inaeza kua nn
Inawezekana moja wapo ya milango ya hiyo gari imeanza kulegea. Sasa kutokana gari labda likitikisika kunakuwa na msuguano kati ya Mlango wa gari na bodi. Angalia vizuri hiyo milango au pia dashboard (hii sina uhakika nayo sana)
Najua wanaweza wakaja wataalamu zaidi na maoni mengine zaidi
 
Inalia chini ya Gari kama vyuma vinagonga au kusagana
 
Jaman kati ya crown royal na athlete ipi ni gari nzuri kwa masafa au comfortable.....?
 
Jmn naomba kuuliza ist inalia ka spring za kitanda cha chuma ukiendesha ishu inaeza kua nn
Nenda kwa fundi mwambie aangalie vitu hivi:

1. Sterling Rack.
2. Bushes.

Na sehemu zingine zinahitaji kufanyiwa lubrication.
 
Kwa anaejua sehemu ambapo ukipeleka gari isiyoendeshwa kwa mda wa mwaka mmoja ikafanyiwa service na kutoka kama mpya..naomba anielekeze kuna ka pijoti kana hitaji huduma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…