Niliikagua iko kavu mkuuMasahihisho kidogo.. ile bakuli lililofungwa chini ya engine la kuhifadhi oil inaitwa sump na sio sample au vinginevyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Km 30000 mbona nyingi sana.. Au sijakuelewa.. Mara nyingi unatakiwa kufanya service kila baada ya km 2000, 3000, 5000 au 10000.Nenda kwa Wataalamu wabadili raba ya nyuma na mbele pia wacheck kwenye Oil Sampo huwa ina leak kwa kulowa tu huwezi ona ikidondoka chini kwahiyo wafungue sampo watakapoirudishia wajaribu kuzipaka na silicon kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna jamaa anaitwa Hemed kama hujapata fundi nijulishe nikuunganishe naye.Watabe....nauliza wapi ntapata wataalaam wa kupiga rangi gari...location...dsm....any referal?!
Japo sijawahi kuimiliki ila bei naona kama iko juu kdgKuna hii premio ya mwaka 2002, yenye CC1490, VVTI. Nimeipenda na bei yake ni nzuri tuu milion 13.5 : naomba mtu anaye imiliki au amewah kuwa nayo anipe ABC zake kidogo.
Mara nying inakuwa vitu vitatu, battery imechoka, oil unayotumia sio sahihi hivyo kusababisha hilo kutokea, weka oil sahihi ya nissan, na mwisho inawezekana kuna unyevu au maji kwenye line ya mafuta, hivyo flush line na tank liwe safi kabisa kisha weka mafuta mapya, kwa hayo tatizo litakuwa limeisha. Mara nyingi mafundi wanakimbilia starter lakini haiwi tatizo katika ugonjwa huo.Wadau kuna gari aina ya Nissan xtrail inatatizo la kushindwa ku-start asubuhi au wakati wa baridi, mafundi wamejitahidi ila tatizo halijaisha, temperature sensor na starter vimebadilishwa bila ya mafanikio.... msaada tafadhali
[emoji1531][emoji1540][emoji1548][emoji1548][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]Mara nying inakuwa vitu vitatu, battery imechoka, oil unayotumia sio sahihi hivyo kusababisha hilo kutokea, weka oil sahihi ya nissan, na mwisho inawezekana kuna unyevu au maji kwenye line ya mafuta, hivyo flush line na tank liwe safi kabisa kisha weka mafuta mapya, kwa hayo tatizo litakuwa limeisha. Mara nyingi mafundi wanakimbilia starter lakini haiwi tatizo katika ugonjwa huo.
Hapana , ndio bei zake ila cha msingi Cheki kama haijatembea kilometa nyingi ikafikia 180000km kama ipo chini ya 80 elfu chukua utaenjoy broJapo sijawahi kuimiliki ila bei naona kama iko juu kdg
Nipe Nipigie uber nikuletee 30000 kwa sikiJmn naomba kuuliza ist inalia ka spring za kitanda cha chuma ukiendesha ishu inaeza kua nn